Kulipa ni lazima, change ni
ukikumbuka
Usitoe viatu tafadhali, nzi
zimeshiba zikalala
Usifungue kioo, kama ulitaka
upepo ungepanda bodaboda.
Ka uko na haraka shuka uende
na ambulance.
Fare haijapanda ni wewe umesota
Lala uporwe
Kama una mbio shuka ukimbie
Great stuff here Comrade, keep going
ReplyDeleteif u miss the driver kiss the conductor
ReplyDeleteLabaan...yaani ulikua huku back in 2012? Respect!!!
DeleteMatatu strikes in Kenya always cause loses to the business industry and hence lower our economic growth,check books on how to expand business wise in all aspects at .http://www.booksfromus.co.ke/
ReplyDelete